TECHNOLOGIA YA COMPUTER

TECHNOLOGIA YA COMPUTER COMPUTER SERVICES Karibu tena mtanzania mwenzangu katika tovuti hii mpya ,Utapata habari nyingi zinazo husiana naTechnologia ya sasa.Mimi kama mtanzania mwenzako nimechukua fursa hii kuamasisha watanzania wa leo kutumia zaidi Technologia ya kileo ili kutimiza ndoto zao ,Je Ni vitu gani kuwa navo ili kutimiza ndoto zetu. Pia Kutakuwa na Makala zinazo elezea matumizi mazuri ya computer ,kuteneza home network, bila ya kutumia vifaa vingi na vya gharama,je ni computer gani inafaa kwa matumizi yako,na ipi haifai kwa matumizi yako.Karibu sana wapenzi wasomaji . SOMA MAKALA MBALIMBALI ZINAZO HUSIANA NA TECHNOLOGIA YA SASA Moja ya Makala muhimu na watu wengi wanapenda Zaidi ni hasa kujua maisha ya mafanikio yanapatika vipi , je wewe mtanzania wa leo unaitaji kukua kiuchumi . Basi Usikose mada hizi tutakazo kuwa naza katika blog yetu hii Nzuri kwa leo Nitapenda kukupa Ufaham...